Kwanini simu yako inaonesha tahadhari unapopakua app yetu (APK)

File: Mimas Shool App • Version: v1.0.2 • Size: 7.7 MB
Maelezo Mafupi: Android huonesha onyo iwapo program inapakuliwa nje na soko la Play Store . Hii haina maana kwamba kweli program yetu ina madhara kwenye simu yako - Ni kwa ajili usalama,pakua App yetu hapahapa kwenye tovuti yetu kwa kubonyeza kitufe hapo juu .
✅ Tunapendekeza upakue app yetu hapa hapa kwenye tuvuti yetu kwa ajili ya usalama. Hakikisha unafuata hatua kwa hatua kwenye simu yako ili uweze kuruhusu kupakua app yetu nje ya soko la Play Store.